تیتر سه زیرسرویس
-
Rafiki Mwenye Hekima kwa Mtazamo wa Ayatullah al-‘Udhma Jawadi Amoli
Hawza/ Ayatullah al-‘Udhma Jawadi Amoli amesema: uhusiano wa kindugu kwa kiwango cha jumla si jambo baya, na ni vyema kila Mwislamu awe na uhusiano mwema na Mwislamu mwenzake; lakini inapofikia…
-
Kumswalia Mtume na Athari Zake Katika Kutimizwa Haja kwa Mtazamo wa Ayatullah Udhma Jawadi Amoli
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Jawadi Amoli amesema: kumswalia Mtume na thawabu zake ni miongoni mwa kheri na malipo bora na ya juu kabisa.
-
Hijabu ya Mwanamke ni Haki ya Mwenyezi Mungu, Haina Mafungamano na Mtu Binafsi, Mwanaume Wala Familia
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Javadi Amuli amesema: “Mwanamke anatakiwa kuelewa kikamilifu kwamba hijabu yake si jambo linalomhusu yeye peke yake hadi aseme, ‘nimeachana na haki yangu’; hijabu ya…
-
Ayatullah Al-Udhma Subhani Katika Darsa la Akhlaq:
Elimu Ambayo Haiwahudumii Watu ni Sawa na Ujinga/ Mashindano ya Silaha ni Alama ya Ujinga
Hawza/ Pamoja na kutetea elimu, jihadharini; elimu inayopaswa kuenea ni ile ambayo itaiokoa jamii na kuipeleka kwenye daraja la ubinadamu. Lakini elimu inayosababisha binadamu kuwaua binadamu…
-
Ayatollah al-Udhma Jawadi Amuli:
Wito wa kuonana na Malakuti ni heshima ya juu kabisa kwa mwanadamu/ kufunguliwa njia ya kuwa arif
Hawza/ Mtukufu Ayatollah Jawadi Amuli amesisitiza: Qur’ani ni kitabu cha adabu na kinaonesha heshima kamili kwa mwanadamu. Mwenyezi Mungu anasema: (فَاتَّبِعُوا مِلَّةَ إِبْرَاهِيمَ حَنِيفًا),…
-
Haya ndiyo makundi matano mabayo hayatapata shafa'a (Uombezi siku ya kiyama)
Hawza / Riwaya za Kiislamu hazijaihesabu shafa'a kwenye makundi matano: makafiri, washirikina, wanafiki, wakanushaji wa shafa'a, na wale wanaoibeza Swala. Imam Swadiq (a.s) kwa msisitizo alisema…
-
Jihadharini na wezi wa itikadi
Hawzah/ Ayatullah Ṣāfī Gulpāygānī (ra) alisisitiza kwamba hakuna mali yenye thamani kubwa kuliko “lulu ya akida (itikadi)” kwa Mwenyezi Mungu, Mtume Mtukufu (saw) na Maimamu watoharifu (as).
-
Somo la Akhlaq | Kwa Nini Uislamu Unalipa Umuhimu wa Pekee Swala la kuunga udugu?
Hawza/ Uislamu umetilia mkazo mkubwa juu ya sila rahm (kuunga udugu), si tu kwa maana ya kuunganisha uhusiano wa kifamilia, bali pia kwa maana ya kuyalinda mahusiano muhimu mawili ya kimaumbile…
-
Darasa la Akhl'aq kwa wanaojiona wamekamilika
Hawza/ Utulivu wa nje wa mwanadamu katika hali ya kawaida mara nyingi huficha sura halisi ya nafsi; lakini hali zisizo za kawaida hufunua yaliyo ndani ya moyo, ni kama maji yaliyotuama ambayo…
-
Kumbukumbu za Maulamaa | Swalini Swala Mwanzo wa wakati, Umaskini Wenu Utaondoshwa
Hawza/ Ayatollah Bahjat amenukuu kutoka kwa Ayatollah Sayyid Abdulhadi Shirazi kwamba baada ya kufariki baba na mlezi wa familia, jukumu la maisha lilimwangukia yeye. Katika ndoto alimwona baba…
-
Ayatollah Bahjat:
Endapo Mola atapenda, watakuzinduwa!
Hawza/ Ayatollah Bahjat (ra), katika kitabu chake "Dar Mahzari-ye Bahjat", akinukuu kauli ya wengi waliopata tajiriba hii, akieleza kuwa mtu akinuia kuswali Swala ya usiku (Swalat al-Layl), hufanyiwa…
-
Darasa ya Akhlaq | Katika mitihani mizito ya Mwenyezi Mungu, wadhifa wetu ni upi?
Hawza/ Mitihani ya Mungu inaendelea kuwa migumu zaidi, na kila mtu, kulingana na nafasi na uwezo wake, ana wajibu mbele ya mitihani hii; jamii haiwezi kutahiniwa moja kwa moja, watu binafsi ndio…
-
Siri ya Maisha Marefu na Kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu kwa mujibu wa Kauli ya Ayatullah Haqqeshenas
Hawza/ Ayatullah Haqqeshenas (ra) alisisitiza kwamba kuwahudumia watu na kuwafanyia ihsani maskini, wahitaji na yatima, hakusababishi tu kuongezeka kwa maisha, bali pia ni sharti muhimu kwa ajili…
-
Kwa nini tunaghafilika sisi wenyewe?
Hawza/ Allamah Hasan Zadeh (ra) ameeleza kuwa kuitambua nafsi ndilo suala muhimu zaidi la maarifa, kwa sababu maarifa ya Mwenyezi Mungu yanategemea na kujitambua, alionya kwamba kupuuza ukubwa…
-
Siri ya Uhai na Umauti wa Roho kwa Mtazamo wa Allamah Hasan Zadeh Amoli
Hawza/ Allamah Hasan Zadeh (ra), kwa kurejelea maneno ya Amirul-Mu’minin (as), analinganisha hali ya mwili na roho.
-
Ayatollah al-Udhma Jawadi Amuli:
Elimu ya “chumba cha baridi” haimjengi mwanadamu
Hawza/ Mtukufu Ayatollah Jawadi Amuli alibainisha kuwa: “Kile kilichopo leo katika baadhi ya jamii za kielimu za vyuo vikuu ni elimu iliyokufa na ya chumba cha baridi; elimu hii ya chumba cha…
-
Allama Hasan Zadeh Amoli: Maisha ya milele yapo mbele yetu; Usijisahau mwenyewe
Hawza/ Ewe kiumbe bora, usijisahaulishe; uwepo huu wa thamani kubwa ni kazi ya kipekee ya Mwenyezi Mungu, ukimsahau Mungu, utajisahau mwenyewe pia, na huo ndio mwanzo wa kuanguka, basi jihadhari,…
-
Mapumziko na matembezi kwa mtazamo wa Imam Khomeini (ra)
Hawza/ Ayatollah Mirza Jawad Agha Tahrani (ra), mmoja wa mauraf'a na miongoni mwa mafaqihi wa Kishia, katika kisa kimoja cha kipindi chake cha masomo katika Hawza ya kielimu ya Qom, alisimulia…
-
Ayatollah al-Udhma Jawadi Amoli:
Kuwasamehe wengine ni sababu ya kuleta ridhaa ya Mwenyezi Mungu na humkasirisha Shetani
Hawza/ Ayatollah al-Udhma Jawadi Amoli, akizungumza kwa kuzingatia riwaya kutoka kwa Imam Ali (as), amesema: Muumini hajawahi kumridhisha Mola wake kwa kitu kama kuvumilia, wala hajamkasirisha…
-
Jibu la kipekee la Imam Baaqir (as) kutokana na dharau alizo onesha Mkristo Mmoja
Hawza/ Riwaya isiyosahaulika kuhusiana na subira na ukubwa wa moyo wa Imam Muhammad Baaqir (as), ilimgusa mno mwanamume mmoja Mkristo aliyesema kwa dhihaka na matusi kiasi cha kwamba baada ya…