Dini
لیستی صفحه سرویس
-
Hukumu za Kisheria:
Kuweka Picha na Video Binafsi Kwenye Wasifu (Profile)
Hawza/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi amejibu swali la kisheria (istiftaa) kuhusiana na suala la “kuweka picha na video binafsi kwenye wasifu (profile)”.
-
Ayatollah Kaabi:
Chanzo cha Uadui wa Marekani ni Hofu ya “Kusimamishwa Uislamu Halisi” / Ghaza; maonyesho ya aibu ya Ustaarabu wa Magharibi
Hawza/ Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Walimu wa Hawza Qum, huku akisisitiza kwamba chanzo kikuu cha uadui wa Marekani, utawala wa Kizayuni na Magharibi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, ni hofu ya…
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Melbourne, Australia, Alaani Shambulio Dhidi ya Hafla ya Kidini ya Wayahudi
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Abulqasim Razavi, katika tamko alilotoa kufuatia shambulio la kutumia silaha dhidi ya hafla ya kidini ya Wayahudi huko Sydney, pamoja na kulaani vikali…
-
Sheikh Ahmad Qabalan:
Historia Imethibitisha Kwamba Sisi ni Watu Wakubwa Kuliko Migawanyiko
Hawza/ Mufti Mkuu wa Jaafari wa Lebanon amesema: Mwanadamu ndiye kitu kitakatifu zaidi miongoni mwa vitakatifu vya Mwenyezi Mungu, na hakuna utakatifu wowote kwa maslahi ya mwanadamu isipokuwa…
-
Ziara ya Kihistoria: Wawakilishi wa Makabila Mbali Mbali Niger, Wakutana na Sheikh Ibraheem Zakzaky + Picha
Hawza/nJumamosi, 13 Desemba 2025, baadhi ya wawakilishi wa jamii za kikabila kutoka Jamhuri ya Niger walifanya ziara ya kumtembelea kiongozi wa Harakati ya Kiislamu, Sheikh Ibraheem Zakzaky,…
-
Kongamano la 11 la Kimataifa la Al-Kawthar, Lafanyika Huko Najaf:
Ufafanuzi wa Mwenendo Mtukufu na Wenye Nuru wa Bibi Fatima Zahra (a.s.)
Hawza/ Kutokana na mnasaba wa maadhimisho ya kuzaliwa mwenye heri na baraka Bibi Fatima Zahra, amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake, pamoja na maadhimisho ya pili ya kufariki Ayatollah Sheikh…
-
Harakati ya Kiislamu Nchini Nigeria, Yaadhimisha Kumbukumbu ya Kuzaliwa Sayyida Fatima al-Zahra (as) + Picha
Hawza/ harakati ya Kiislamu nchini Nigeria imeadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Sayyida Fatima al-Zahra (as), ambae ni binti wa Mtume (saww), na mke wa Imam Ali (as), vile vile pia ni mama wa…
-
Kundi la Masheikh wa Senegal, Wakutana na Kiongozi wa Tijaniyya wa Eneo la Al-Tamasin, Algeria + Picha
Hawza / Kundi la watafiti na mashaykh wa madhehebu ya Tijaniyya kutoka nchi ya Senegal walikutana na Kiongozi wa Tariqa ya Tijaniyya katika eneo la Al-Tamasin, lililopo nchini Algeria.
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad:
Hashdu Shaabi Imeiokoa Iraq Dhidi ya Mifarakano
Hawza/ Ayatollah Sayyid Yasin Mousawi, Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad, huku akisisitiza nafasi ya kipekee na isiyopingika ya Hashdu Shaabi katika kuiokoa Iraq dhidi ya mifarakano na kusambaratika…
-
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC) Ahudhuria Hafla ya Ndoa ya Vijana 100 Jijini Tanga + Picha
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania, Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, ameshiriki katika hafla maalumu ya ndoa za pamoja kwa vijana 100 iliyofanyika leo jijini Tanga.
-
Sheikh Al-Qattan Katika Kikao Chake na Jamil Hayek, Atilia Mkazo Kwenye Umoja wa Kitaifa na Kuliunga Mkono Suala la Palestina
Hawza/ Rais wa Jumuiya ya “Qawluna wa Al-Amal” nchini Lebanon, alipotembelea ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Amal mjini Beirut, alifanya kikao na Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati hiyo, Jamil…
-
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Iran, Katika Mkutano na Waimbaji wa Mashairi ya Ahlul-Bayt (a.s.):
Ulazima wa Kubadili Mpangilio wa Ufikishaji wa Kimtandao na Kimaarifa Mbele ya Juhudi Anazozifanya Adui Ili Kuvutia Nyoyo na Akili
Hawza/ Kiongozi wa Mapinduzi alibainisha kuwa; kusimama imara dhidi ya vita vya ufikishaji wa kimtandao vinavyoongozwa na Magharibi ni jambo gumu lakini linawezekana kabisa. Alisema: Katika njia…

