Dini
لیستی صفحه سرویس
-
Ayatollah Udhma Golpaygani (ra), Ni Shakhsia Kubwa katika Historia ya Hawza/ Hafla ya Kumbukizi Yake ni Siku ya Jumanne
Hawza/ Hujjat al-Islam wa al-Muslimin Barqi ameashiria kuwa hafla ya kumbukumbu ya Ayatollah al-‘udhma Golpaygani (rahimahullah) itafanyika siku ya Jumanne, 16 December 2025, baada ya Swala ya…
-
Ayatullah A‘rafi katika Khutuba ya Swala ya Ijumaa Qum Iran:
Nahjul-Balagha ni Nakala ya Utawala wa Kiislamu / Tumfasiri Mwanamke kwa Kutumia Kigezo cha Bibi Fa'tima
Hawza/ Khatibu wa swala ya Ijumaa Qum amesema: Katika muundo wa Kiislamu, maslahi jumuishi ya mwanamke, mwanaume, watoto na jamii huzingatiwa katika kuweka kanuni. Tukikusanya mizani ya maslahi…
-
Ayatullah Khatami Katika Kongamano la Kitaifa la Mbebabendera ya Tafsiri ya Qur'an:
Lazima Kuzinduliwe Harakati ya Tafsiri ya Qur’ani
Hawza/ Mjumbe wa Baraza la Wataalamu wa Uongozi (Shura-ye Negahban), katika Mkutano wa Kitaifa wa "Mbebabendera ya Tafsiri", huku akisisitiza ulazima wa kuzinduliwa harakati ya tafsiri ya Qur’ani,…
-
Ayatullah Al-Udhma Subhani:
Wafasiri wa Qur'an Wajiepushe Kukariri, Badala Yake Wajikite Kwenye Ubunifu
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Subhani, katika Mkutano wa Kitaifa wa "Kuinua bendera ya Tafsiri ya Qur’ani Tukufu", aliwataka wafasiri wa Qur'an kuepuka kurudia yaliyokwisha kusemwa na kuelekea kwenye…
-
Ayatullah A‘rafi katika hafla ya kufunga Mkutano wa Kitaifa wa Vinara wa Harakati ya Kiislamu:
Ayatullah Yazdi (r.a.) Alikuwa Mtu wa Zama Muhimu Katika Historia/ Mfano wa Hekima Katika Utendaji
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza katika hafla ya kufunga Mkutano wa Kitaifa wa “Vinara wa Harakati ya Kiislamu; Ayatullah Yazdi (r.a.)” alisisitiza: Mujaahid huyu wa kimapinduzi alikuwa kielelezo cha…
-
Ayatullah A‘arafi Katika Kongamano la Mwaka la Wawakilishi wa Wanafunzi na wanazuoni wa Hawza:
Ushiriki Hai wa Hawza Katika Muundo wa Fikra za Kijamii na Mifumo ya Nchi ni Hitaji Lisilopingika
Ayatullah A‘arafi alisisitiza: ushiriki hai wa Hawza katika muundo wa fikra za jamii na katika mifumo ya nchi ni hitaji lisilopingika. Japokuwa Hawza imekuwa na uwepo katika nyanja nyingi na…
-
Ayatollah Al-Irāfi katika Kikao na Walimu wa Tafsiri ya Qur'ani Amesisitiza:
Misingi 12 ya Shughuli za Kimkakati za Qur'ani Ndani ya Hawza:
Hawza/ Mkuu wa Hawza nchini Iran, katika mkutano na waalimu na wafasiri wa Qur’ani, alisisitiza kwamba: Qur’ani ni maandiko pekee ya mbinguni yaliyo sahihi na hitaji la pamoja la binadamu wote.…
-
Ayatullah A‘rafi:
Mafanikio ya Wanawake katika Elimu na Teknolojia Baada ya Mapinduzi ya Iran Hayalinganishwi na Kipindi Cho chote Kingine
Hawza/ Mkurugenzi wa hawza nchini Iran amesema: Leo, kwa baraka za Mapinduzi ya Kiislamu, katika uwanja wa mwanamke na familia, kumepatikana mafanikio makubwa nchini Iran katika nyanja mbalimbali…
-
Mjumbe wa Baraza la Uangalizi:
Kaulimbiu ya Kudai Uhuru ya Magharibi ni Kisingizio cha Kuhadaa Maoni ya Walimwengu/ Uhuru wa Kweli Upo Kwenye Kumuabudu Mwenyezi Mungu
Hawza/ Ayatullah Modarresi, huku kukosoa vikali mienendo ya kindumakuwili inayofanywa na nchi za Magharibi katika kujitetea kwa madai ya uhuru na haki za binadamu, alisisitiza: Magharibi inayojitambul…
-
Afisa Masuala ya Utamaduni na Mitandao wa Kampuni ya Tavanir:
Mitandao ya Kijamii ni Uwanja Mkuu wa Vita vya Kihabari/ Habari za Shirika la Habari la Hawza ni za Kuaminika na Zenye Msingi wa Unaohitajika
Hawza/ Hujjatul-Islam Kakavand, akirejelea imani ya jamii kwenye vyombo vya habari vya Hawza, alisema: Kuchapishwa kwa habari katika Shirika Rasmi la Habari la Hawza huleta utulivu katika jamii…
-
Ayatullah A‘arafi katika mkusanyiko wa wanafunzi na wanazuoni wa Kiirani wanaoishi Najaf:
Hawza inahitaji kulinda fiqhi ya jadi na kwa wakati huohuo kupanua fiqhi ya kisasa / Dunia inayokuja ni tata, hakuna nafasi ya kughafilika
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza za Elimu za Kiislamu, akiwahutubia wanafunzi vijana, alisema: Hawza inahitaji kulinda fiqhi ya jadi sambamba na kupanua mijadala ya fiqhi ya kisasa, kuilinganisha na…
-
Kutokana na Mnasaba wa Kushiriki Katika Kongamano la Kimataifa la Mirzai Naa’ini (r.a):
Mkuu wa Hawza Iran, Azuru Katika Ataba Tukufu
Hawza/ Mkuu wa Hawza za Kielimu Iran, kutokana na mnasaba wa kushiriki katika Kongamano la Kimataifa la Mirzai Naa’ini (r.a), alisafiri kwenda nchini Iraq.

