تیتر سه زیرسرویس
-
Mafunzo Katika Qur'an:
Ili Waislamu Wawe Bora, Qur'an Imetoa Sharti Hili
Hawza/ Ufunguo wa heshima na ushindi kwa Waislamu upo katika imani thabiti, kusimama imara katika njia ya haki, na kushikamana na maadili ya Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu anasema katika Qur’ani…
-
Ayatollah Al-Udhma Jawadi Amoli:
Vijana na Mabinti Wawe ni Wenye Shukrani Kutokana na Jitihada Walizo Zifanya Wazazi Wao Kwao
Hawza/ Hadhrat Ayatollah Jawadi Amoli aliwashauri wasichana na wavulana kuwa wenye shukrani kwa juhudi zilizofanywa na baba na mama kuwaelekea wao.
-
Kioo cha Unabii: Wakati Binti wa Mtume Alipokuwa Katika Daraja la Unabii
Hawza/ Bibi Fatima Zahra (amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake) aliishi siku sabini na tano baada ya Mtume, na katika kipindi hiki Jibril Amin alikuwa akiteremka mara kwa mara juu yake na kueleza…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiyya (58)
Mapinduzi kabla ya kudhihiri Imam Mahdi (a.s.)
Hawza/ Baadhi ya watu, wakitegemea baadhi ya riwaya, wamefikia hatua ya kudhania kwamba aina yoyote ya harakati dhidi ya watawala madhalimu kabla ya kudhihiri kwa Imam wa Zama (a.s.) ni haramu;…
-
Mafunzo Katika Sahifat Sajjadia:
Jinsi ya Kujiepusha na Majivuno Wakati wa Mafanikio Makubwa
Hawza/ Wakati wa kufikia daraja za kidunia au kiakhera, hatari ya majivuno hutukabili; Imam Zaynul Abidin (a.s.) anatupa mwongozo wa kujilinda na hatari hii.
-
Mafunzo Katika Nahjul Balagha:
Je! Ni kwa Sababu Ipi Wino wa Wanazuoni Unepewa Uzito Mkubwa Kuliko Damu ya Mashahidi?
Hawza/ Amirul-Mu’minin Ali (a.s.) anaiona elimu kuwa ni urithi wenye thamani kubwa mno; na kwa hakika, urithi huu hauwezi kulinganishwa na jambo jingine lolote katika Uislamu.
-
Je, Hazrat Ummul-Banin (s.a.) alifariki kiasili au aliuawa shahidi?
Hawza/ Pamoja na kwamba vyanzo vya kale vimekaa kimya kuhusiana na namna ya kufariki kwa Hazrat Ummul-Banin (s.a.), ripoti za baadaye zimewawekea watafiti simulizi mbili tofauti: kundi moja linaamini…
-
Mafunzo Katika Qur'an:
Ili Kuokoka na Majuto ya Siku ya Kiyama Tufanye Nini?
Hawza/ Kila wakati unaopita bila kumkumbuka Mwenyezi Mungu, huacha majuto marefu; na kumbukumbu hii si kwa ulimi pekee, bali lazima ionekane na idhihirike pia katika vitendo.
-
Mafunzo Katika Sahifa Sajjadia:
Daima Jione Kuwa ni Mwenye Mapungufu
Hawza/ Kuona matendo mema kuwa makubwa na kuyafanya makosa na madhambi yaonekane kuwa ni madogo, kunaweza kuwa kikwazo katika njia ya ucha-Mungu wa mwanadamu; kwa hiyo, usia wa Maa’sumina (amani…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiyya (57)
Tawkī‘āt za Imam Mahdi (a.s.)
Hawza/ Miongoni mwa njia zinazobainisha mas-ala na kuondoa shubha ni kutumia mwongozo na kunufaika na tawkī‘āt na maandiko ya mkono ambayo Imam Mahdi (a.s.) alikuwa akiyaandika kwa watu waliokuwa…
-
Utukufu wa ibada ya Bibi Zahraa (a.s) Kulingana na Mtazamo wa Ayatullah A-Udhma Javadi Amoli
Hawza/ Ayatullah Javadi Amoli amebainisha kuwa: Bibi Zahraa (a.s) alipokuwa akisimama kuswali alikuwa akijikita kiasi kikubwa kwenye utukufu wa Mwenyezi Mungu na kupotea kabisa katika jalali…
-
Jawabu kwa Shubha ya Kihistoria: Je, ni Kweli Nyumba ya Bibi Zahraa (a.s) Ilichomwa Moto?
Hawza/ Katika kipindi kilichoandaliwa huku akihudhuria Hujjatul-Islam Muhammadi Shahroudi, palisisitizwa juu ya kupata maarifa ya Fatimiyyah kama ufunguo wa kufumbua fumbo la historia, na kuchambua…
-
Mzizi wa Wilaya na Unabii Unaoatikana katika Uwepo Mtukufu wa Bibi Fatima Zahraa (a.s.)
Hawza/ Mzizi wa “Wilaya" wa na “Unabii” umo katika uwepo wa Bibi Fatima Zahraa (s.a). Mtume Mtukufu (s.a.w.w.) amesema: «فاطمه اُمّ أبیها» “Fatima ni mama wa baba yake”; yaani mama wa baba yake…
-
Mafunzo Katika Nahjul - Balagha:
Hivi Ndivyo Utakavyokuwa Mpenzi wa Mungu
Hawza/ Kuwatumikia waja wa Mungu ni miongoni mwa matendo yenye kupendwa sana na Mwenyezi Mungu, na yametajwa pia kuwa ni kafara ya madhambi.
-
Ayatullah al-Udhma Wahid Khorasani:
Kuhuisha Masiku ya F'atwimiyya ni Utumishi Ulio Mkubwa Zaidi
Hawza/ Ayatullah Wahid Khorasani walisema: “Utumishi ulio mkubwa zaidi siku hizi ni kuhuisha masiku ya bibi Fatimah. Jambo la Bibi Zahra (amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake) lina upekee kwa…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiya (56)
Njia za Kumtambua Imam (a.s.)
Hawza/ Bila shaka mojawapo ya majukumu muhimu ya waja mbele ya Mola wao ni kumjua huyo Mwenye Hadhi Tukufu. Maarifa haya hufikia ukamilifu wakati Mitume wa Mungu – hasa hasa Mtume wa Mwisho (s.a.w.w)…
-
Kuielekea jamii Bora: Tafiti za Mahdawiya (55)
Mambo ya pamoja kati ya Ahlul-Sunna na Shia kuhusiana na suala la Mahdawiya
Hawza/ Ahlul-Sunna wametaja mara nyingi katika riwaya zao ukweli wa "fikra ya Mahdawiya". Ingawa katika baadhi ya maeneo inatofautiana na imani ya Kishia, bado kuna mambo mengi ya pamoja.
-
Mafunzo Katika Qur'ani:
Kile Ninachoona Kwenye Kioo “Sio Mimi!”
Hawza/ Mwenyezi Mungu Mtukufu katika dunia hii amemkabidhi mwanadamu amana za kiroho ili azitumie katika kufikia malengo ya kimungu; la sivyo, amana hizi siku moja zitatoa ushahidi dhidi yake.
-
Kwa nini Twala na Zubayr hawakufichua mahali alipozikwa Bibi Fāṭimah (a.s.)?
Kwa mujibu wa vyanzo vya kihistoria na riwaya, kufichwa kwa kaburi la Bibi Fātimah Az-Zahrā (a.s.) lilikuwa ni kwa ombi lake binafsi, ili watawala wa wakati huo wasihusike katika mazishi yake.…
-
Maisha Katika Sahifat Sajjadia:
Ni vipi Toba Inavyoweza Kuufanya Vizuri Zaidi Uhusiano wa Mja na Mola Wake?
Hawza/ Toba ya mwanadamu imo kati ya toba mbili za Mwenyezi Mungu. Kwanza, Mwenyezi Mungu Mtukufu humpa mja wake tawfiki (uwezo wa kutambua udhaifu wake, kunyenyekea na kutaka kurejea Kwake),…