-
Ayatollah A‘rafi Katika Kikao na Wakurugenzi na Manaibu wa Utafiti wa Hawza ya Qom Iran:
HawzaUtafiti ndani ya Hawza una Jukumu la Kuongoza/ Leo tuko Katikati ya Mapambano Makubwa ya Kiakili na Kimaendeleo
Hawza/ Ayatollah A‘rafi, akielezea nafasi ya kipekee ya Hawza, alisema: “Leo katika ulimwengu mzima, nguzo kuu ya uzalishaji wa fikra kwa ajili ya Mapinduzi ya Kiislamu na katika kujibu mahitaji…
-
HawzaAyatullah Hosseini Bushehri: Hawza Inaenda Sambamba na Mabadiliko
Hawza/ Rais wa Jumuiya ya Walimu wa Hawza alisema: Matokeo ya shughuli za vituo vyetu vya kielimu yanapaswa siku zote kuwepo juu ya meza za viongozi. Haitoshi kujitosheleza kwa kuwasilisha vitabu…
-
Ayatollah A‘arafi Katika Hotuba Yake Kwenye Chuo Kikuu cha Qum Iran:
HawzaSayansi ya Kibinadamu ya Kiislamu Ndio Msingi na Roho ya Tamko la Hatua ya Pili ya Mapinduzi ya Iran/ Nashangaa Baadhi Wanasema Hakuna Sayansi ya Kibinadamu ya Kiislamu
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran, huku akisisitiza kwamba sayansi ya kibinadamu ya Kiislamu ndio msingi na roho ya Tamko la Hatua ya Pili ya Mapinduzi, alisema: Kila kinachopuuzwa kuhusu…
-
HawzaAyatollah Udhma Golpaygani (ra), Ni Shakhsia Kubwa katika Historia ya Hawza/ Hafla ya Kumbukizi Yake ni Siku ya Jumanne
Hawza/ Hujjat al-Islam wa al-Muslimin Barqi ameashiria kuwa hafla ya kumbukumbu ya Ayatollah al-‘udhma Golpaygani (rahimahullah) itafanyika siku ya Jumanne, 16 December 2025, baada ya Swala ya…
-
Ayatullah A‘rafi katika Khutuba ya Swala ya Ijumaa Qum Iran:
HawzaNahjul-Balagha ni Nakala ya Utawala wa Kiislamu / Tumfasiri Mwanamke kwa Kutumia Kigezo cha Bibi Fa'tima
Hawza/ Khatibu wa swala ya Ijumaa Qum amesema: Katika muundo wa Kiislamu, maslahi jumuishi ya mwanamke, mwanaume, watoto na jamii huzingatiwa katika kuweka kanuni. Tukikusanya mizani ya maslahi…
-
Ayatullah Khatami Katika Kongamano la Kitaifa la Mbebabendera ya Tafsiri ya Qur'an:
HawzaLazima Kuzinduliwe Harakati ya Tafsiri ya Qur’ani
Hawza/ Mjumbe wa Baraza la Wataalamu wa Uongozi (Shura-ye Negahban), katika Mkutano wa Kitaifa wa "Mbebabendera ya Tafsiri", huku akisisitiza ulazima wa kuzinduliwa harakati ya tafsiri ya Qur’ani,…
-
Ayatullah Al-Udhma Subhani:
HawzaWafasiri wa Qur'an Wajiepushe Kukariri, Badala Yake Wajikite Kwenye Ubunifu
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Subhani, katika Mkutano wa Kitaifa wa "Kuinua bendera ya Tafsiri ya Qur’ani Tukufu", aliwataka wafasiri wa Qur'an kuepuka kurudia yaliyokwisha kusemwa na kuelekea kwenye…
-
Ayatullah A‘rafi katika hafla ya kufunga Mkutano wa Kitaifa wa Vinara wa Harakati ya Kiislamu:
HawzaAyatullah Yazdi (r.a.) Alikuwa Mtu wa Zama Muhimu Katika Historia/ Mfano wa Hekima Katika Utendaji
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza katika hafla ya kufunga Mkutano wa Kitaifa wa “Vinara wa Harakati ya Kiislamu; Ayatullah Yazdi (r.a.)” alisisitiza: Mujaahid huyu wa kimapinduzi alikuwa kielelezo cha…
-
Ayatullah A‘arafi Katika Kongamano la Mwaka la Wawakilishi wa Wanafunzi na wanazuoni wa Hawza:
HawzaUshiriki Hai wa Hawza Katika Muundo wa Fikra za Kijamii na Mifumo ya Nchi ni Hitaji Lisilopingika
Ayatullah A‘arafi alisisitiza: ushiriki hai wa Hawza katika muundo wa fikra za jamii na katika mifumo ya nchi ni hitaji lisilopingika. Japokuwa Hawza imekuwa na uwepo katika nyanja nyingi na…
-
Ayatollah Al-Irāfi katika Kikao na Walimu wa Tafsiri ya Qur'ani Amesisitiza:
HawzaMisingi 12 ya Shughuli za Kimkakati za Qur'ani Ndani ya Hawza:
Hawza/ Mkuu wa Hawza nchini Iran, katika mkutano na waalimu na wafasiri wa Qur’ani, alisisitiza kwamba: Qur’ani ni maandiko pekee ya mbinguni yaliyo sahihi na hitaji la pamoja la binadamu wote.…
-
Ayatullah A‘rafi:
HawzaMafanikio ya Wanawake katika Elimu na Teknolojia Baada ya Mapinduzi ya Iran Hayalinganishwi na Kipindi Cho chote Kingine
Hawza/ Mkurugenzi wa hawza nchini Iran amesema: Leo, kwa baraka za Mapinduzi ya Kiislamu, katika uwanja wa mwanamke na familia, kumepatikana mafanikio makubwa nchini Iran katika nyanja mbalimbali…
-
Mjumbe wa Baraza la Uangalizi:
HawzaKaulimbiu ya Kudai Uhuru ya Magharibi ni Kisingizio cha Kuhadaa Maoni ya Walimwengu/ Uhuru wa Kweli Upo Kwenye Kumuabudu Mwenyezi Mungu
Hawza/ Ayatullah Modarresi, huku kukosoa vikali mienendo ya kindumakuwili inayofanywa na nchi za Magharibi katika kujitetea kwa madai ya uhuru na haki za binadamu, alisisitiza: Magharibi inayojitambul…
-
Afisa Masuala ya Utamaduni na Mitandao wa Kampuni ya Tavanir:
HawzaMitandao ya Kijamii ni Uwanja Mkuu wa Vita vya Kihabari/ Habari za Shirika la Habari la Hawza ni za Kuaminika na Zenye Msingi wa Unaohitajika
Hawza/ Hujjatul-Islam Kakavand, akirejelea imani ya jamii kwenye vyombo vya habari vya Hawza, alisema: Kuchapishwa kwa habari katika Shirika Rasmi la Habari la Hawza huleta utulivu katika jamii…
-
Ayatullah A‘arafi katika mkusanyiko wa wanafunzi na wanazuoni wa Kiirani wanaoishi Najaf:
HawzaHawza inahitaji kulinda fiqhi ya jadi na kwa wakati huohuo kupanua fiqhi ya kisasa / Dunia inayokuja ni tata, hakuna nafasi ya kughafilika
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza za Elimu za Kiislamu, akiwahutubia wanafunzi vijana, alisema: Hawza inahitaji kulinda fiqhi ya jadi sambamba na kupanua mijadala ya fiqhi ya kisasa, kuilinganisha na…
-
Kutokana na Mnasaba wa Kushiriki Katika Kongamano la Kimataifa la Mirzai Naa’ini (r.a):
HawzaMkuu wa Hawza Iran, Azuru Katika Ataba Tukufu
Hawza/ Mkuu wa Hawza za Kielimu Iran, kutokana na mnasaba wa kushiriki katika Kongamano la Kimataifa la Mirzai Naa’ini (r.a), alisafiri kwenda nchini Iraq.
-
Uchambuzi na Utafiti wa Fatwimiyya Uliofanywa na Ustadh Husseini Qazwini:
HawzaDaraja na Hadhi ya Bibi Fatima Zahra (a.s) Katika Vyanzo vya Ahlus-Sunna
Hawza/ Rais wa Taasisi ya Utafiti ya Hujjat Wali al-Asr (a.t.f.s) amesema: Miongoni mwa hadithi nyingi zilizopo katika vitabu visivyo vya Kishia kuhusu daraja ya Bibi Fatima Zahra (a.s), ni hadithi…
-
Ayatollah A’rafi Katika Kongamano la Wanafunzi Wapya wa Hawza ya Qom Iran:
HawzaHawza Ambayo Mhimili wa Mambo Yake ni kwa Ajili ya Mwenyezi Mungu” Hubadilisha Hesabu za Ulimwengu
Mkurugenzi wa Hawza Qum Iran, alibainisha kwamba: Kama vile Imam Khomeini (ra) katika enzi za giza za mabavu ya utawala wa twa'ghuti, katika mkusanyiko mdogo wa wanafunzi wa dini, aliendelea…
-
Kaimu Mkurugenzi wa Hawza ya ya Qum Iran:
HawzaKuvunjwa Heshima ya Wanazuoni wa dini ni Kunatoka na Ushawishi wa Nafasi yao / Hawza ni Mfasiri wa Mwenendo na Maisha ya Ahlul-Bayt (a.s.)
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Hamid Maliki amesisitiza kuwa: “Leo hii, wanazuoni wa dini wamefikia hadhi ya kipekee isiyokuwa na mfano katika historia, jambo ambalo linamghadhabisha mno…
-
Ayatullah A‘rafi:
HawzaJanga la Sudan ni Mfano wa Wazi wa Miradi Mibaya ya Maadui wa Umma wa Kiislamu/ Jumuiya za kimataifa zichukue misimamo thabiti
Hawza/ Mkurugenzi wa hawza, huku akilaani jinai ya kikatili dhidi ya watu wanyonge wa Sudan, alisisitiza kwamba: Tunatarajia jumuiya za kimataifa, Shirika la Ushirikiano wa Kiislamu, na taasisi…
-
Ayatollah A‘rafi katika kongamano la wanazuoni na wanafunzi wa Ardabil Nchini Iran:
HawzaKuhubiri dini (Tabligh) kumejengwa juu ya msingi wa elimu na hoja za kiakili
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza nchibi Iran amesema: Wale ambao ndani ya Hawza wanapinga mtazamo wa kisiasa, wao wenyewe wanafikiri kisiasa. Asili ya mfumo wa fikra wa Hawza na uongozi wa kidini ni…
-
Katika Mahojiano na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Qom limejadiliwa:
HawzaUenezaji wa Dini (Tabligh) Katika Zama za Akili Bandia (AI); Je, Mimbari ya Jadi Bado ina Ufanisi?
Hawzah/ Hujjatul Islam wal-Muslimin Sharifi amesema: Leo kuna programu ambazo zinawezesha "mazungumzo na hadithi" au "mazungumzo na tafsiri". Mhubiri anaweza kutumia mifumo hii kupata rasilimali…
-
Ayatullah A‘rafi katika kikao na wasomi wa Iraq:
HawzaMarehemu Naini alikuwa na mchango wenye athari kubwa katika uwanja wa siasa na jamii
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza alibainisha kuwa: “Ameonesha kwamba faqihi anaweza kufuatilia masuala ya kielimu na wakati huo huo awe na nafasi yenye athari katika uwanja wa kisiasa na kijamii.”
-
Ayatullah al-‘Udhma Subhānī:
HawzaIjitihaidishaji wlya ubunifu na juhudi za kielimu za Mirza Nāīnī ni kielelezo kwa wanafunzi na watafiti wa Hawza
Hawza/ Ayatullah Subhānī alisema: Marehemu Mirza Nāīnī, kwa kutumia mbinu bunifu za kielimu katika fiqhi, kama vile kugawa kadhia katika vigawanyo vya kihakika (ḥaqīqiyyah) na vya kihalisia (khārijiyy…
-
Kiongozi wa Mapinduzi Irani, katika kikao na waandaaji wa Mkutano wa Kimataifa wa Mirza Na’ini (ra) alifafanua:
HawzaUbunifu wa kielimu na fikra ya kisiasa ni sifa mbili mashuhuri za Allāmah Na’ini
Hawza/ Hotuba ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran, katika kikao na waandaaji wa Mkutano wa Kimataifa wa Allāmah Mirza Na’ini (r.a), huko Qom Iran, katika eneo la kufanyia mkutano huo.
-
Ayatullah A‘rafi katika Kongamano la Mirza Na’ini:
HawzaMirza Na’ini ni alama ya akili ya jihadi katika fikra ya Kiislamu / Kufufua kazi za wakubwa ni muongozo kwa hawza na chanzo cha msukumo kwa kizazi kijacho
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza alisisitiza kwamba; kufufua kazi za wakubwa ni mwongozo kwa hawza na chanzo cha ilhamu kwa vijana, akasema: Mirza Na’ini ni mfano wa akili ya kimujahidina na kiunganishi…
-
Ayatullah A‘rafiy amebainisha:
HawzaMisingi ya usimamizi na mikakati katika upangaji na usimamizi wa Hawza
Hawza/ Ayatullah Alireza A‘rafiy, akiweka bayana nafasi ya kihistoria na kitamaduni ya Hawza, amesisitiza juu ya nafasi ya maulamaa katika kufufua utajo wa Mwenyezi Mungu, kulea kizazi chenye…
-
Ayatullah A‘rafi katika kikao na wakuu wa taasisi za Jihad-e-Daneshgahi nchini Iran:
HawzaVipengele vitatu muhimu kwa ajili ya kazi ya kitamaduni / Tuwe tayari kufanya biashara na Mungu
Hawza/ Mkurugenzi wa hawza Iran, Ayatullah Alireza A‘rafi, akifafanua kuhusu vipengele vitatu muhimu vya kazi ya kitamaduni, alisema: “Ikhlasi ni kipimo kinachoinua thamani ya kazi. Kufanya biashara…
-
Naibu wa Kimataifa wa Hawza nchini Irani, amesema:
HawzaMuungano wa Kidini Chini ya Uongozi wa Mtume wa Uislamu (s.a.w.w)
Hawza/ Naibu wa masuala ya kimataifa wa hawza amesema kuwa; maandalizi maalumu ya maadhimisho ya miaka 1500 tangu kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w) ni fursa adhimu kwa ajili ya kuikuza fikra…
-
Ayatullah A‘rafi katika mkutano wa wasaidizi wa utafiti wa Hawza:
HawzaTabliigh bila mchango wa utafiti haiwezi kufanikiwa/ Tusisahau umuhimu wa mtazamo wa ijtihaadi
Hawza/ Mkurugenzi wa hawza, Ayatullah Alireza A‘rafi, amesisitiza kuwa kujitolea katika masuala ya utafiti ni sharti muhimu kwa mafanikio ya shughuli za kielimu na za tabligh (ulinganiaji), akibainish…
-
Ayatullah A‘rafi katika kikao cha walimu wa Taasisi ya Elimu ya Juu ya Fiqhi amezungumzia:
HawzaMisingi mitano ya maudhui katika ujumbe wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi wa Iran kwa hawza / Wajibu wa kimataifa wa Hawza na maulama
Hawza/ Ayatullah Alireza A‘rafi amesisitiza kwamba “walengwa wa kwanza wa ujumbe wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi katika kumbukumbu ya miaka mia moja ya kuasisiwa upya kwa Hawza ya kielimu ya Qum…