Jumatano 17 Desemba 2025

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
    • Hadithi
    • Kitabu na Makala
    • Sheria za Kiislamu
    • Maswali na Majibu
    • Maadili ya Kiislamu
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi
filterHabari za leo
  • Utafiti ndani ya Hawza una Jukumu la Kuongoza/ Leo tuko Katikati ya Mapambano Makubwa ya Kiakili na Kimaendeleo.

    Ayatollah A‘rafi Katika Kikao na Wakurugenzi na Manaibu wa Utafiti wa Hawza ya Qom Iran:

    HawzaUtafiti ndani ya Hawza una Jukumu la Kuongoza/ Leo tuko Katikati ya Mapambano Makubwa ya Kiakili na Kimaendeleo.

    Hawza/ Ayatollah A‘rafi, akielezea nafasi ya kipekee ya Hawza, alisema: “Leo katika ulimwengu mzima, nguzo kuu ya uzalishaji wa fikra kwa ajili ya Mapinduzi ya Kiislamu na katika kujibu mahitaji…

    2025-12-16 23:02
  • Ayatullah Hosseini Bushehri: Hawza Inaenda Sambamba na Mabadiliko

    HawzaAyatullah Hosseini Bushehri: Hawza Inaenda Sambamba na Mabadiliko

    Hawza/ Rais wa Jumuiya ya Walimu wa Hawza alisema: Matokeo ya shughuli za vituo vyetu vya kielimu yanapaswa siku zote kuwepo juu ya meza za viongozi. Haitoshi kujitosheleza kwa kuwasilisha vitabu…

    2025-12-16 22:02
  • Njia Isiyo na Kifani ya Mwenyezi Mungu kwa Ajili ya Kumlea Mwanadamu

    Mafunzo Katika Qur'an:

    DuniaNjia Isiyo na Kifani ya Mwenyezi Mungu kwa Ajili ya Kumlea Mwanadamu

    Hawza/ Mwenyezi Mungu katika aya ya 90 ya Surah An-Nahl, badala ya kutumia amri na katazo kali, anatumia lugha ya mafundisho: «يَعِظُكُمْ لَعَلَّكُمْ تَذَكَّــرُونَ». Huu ni mtindo wa kipekee…

    2025-12-16 21:02
  • Mwanazuoni wa Dini Lazima Daima Awe Kwenye Njia ya Kutafuta Elimu na Kuhifadhi Kazi za Kielimu

    Mwanzuoni Mashuhuri kwa Kishia Nchini Pakistan:

    DuniaMwanazuoni wa Dini Lazima Daima Awe Kwenye Njia ya Kutafuta Elimu na Kuhifadhi Kazi za Kielimu

    Hawza/ Ayatollah Hafiz Sayyid Riyaadh Hussain Najafi katika hotuba yake alisisitiza umuhimu wa kutafuta elimu mara kwa mara, kuhifadhi kazi za kisayansi za wataalimu, na kufundisha Qur'an na…

    2025-12-16 20:01
  • Radi Amali ya Kamati ya Uongozi wa Michezo ya Hawza Nchini Iran, Kuhusu “Mechi ya Kifahari ya Mashoga”

    DuniaRadi Amali ya Kamati ya Uongozi wa Michezo ya Hawza Nchini Iran, Kuhusu “Mechi ya Kifahari ya Mashoga”

    Hawza/ Kufuatia kuitwa kwa mchezo wa timu ya taifa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jamhuri ya Kiarabu ya Misri kwa jina la “Mechi ya Fahari” (Pride Match) na FIFA pamoja na Kamati ya Maandalizi…

    2025-12-16 00:30

Ufikaji wa haraka

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi

Chagua lugha

  • Kiswahili
  • فارسی
  • English
  • العربیة
  • اردو
  • Français
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • Türkçe
  • Русский
  • Español
  • Azərbaycan

Mitandao ya kijamii

Haki zote za tovuti hii zimehifadhiwa kwa ajili ya shirika la habari la Hawza.

Kueneza yaliyomo katika shirika la habari la Hawza kwenye mashirika ya habari mengine inafaa pasi na kipingamizi.

sw.hawzahnews.com. All rights reserved

Nastooh Saba Newsroom