Hawza/ Mtukufu Ayatullah Subhani alionya kwamba: Ni lazima tuingie katika uwanja wa elimu kupitia njia sahihi, wala hatupaswi kuvutiwa na kuathiriwa na Magharibi. Sisi wenyewe tuna misingi sahihi…