Hawza/ Khatibu wa Ijumaa wa Qom amesema: maana ya Marekani inaposema mazungumzo na makubaliano ya amani, si kitu kingine isipokuwa ni udhalili, fedheha na kujisalimisha bila masharti mbele ya…
Hawza / Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Qom alisema: Marekani na washirika wake baada ya shambulio la moja kwa moja dhidi ya vituo vya nyuklia, kwa maneno ya jeuri, walianza kuwatishia Wairani…