Hawza/ Kushikamana na kuswali Swala mwanzo wa wakati huleta unyenyekevu moyoni bila kipingamizi. Kufungamana tu na wakati wa Swala ni mazoezi ya kupata unyenyekevu moyoni ndani ya Swala, na kwa…
Hawza/ Katika kitabu "Bahjat al-Du‘a", pameelezwa ushauri wenye athari kubwa kutoka kwa Ayatollah Bahjat kuhusiana na kupokelewa dua.
Je, unateseka kutokana na ria na majivuno? Kuna dhikri rahisi lakini yenye nguvu inayoweza kukuokoa dhidi ya sifa hizi mbaya.