Janga la Sudani (4)
-
DuniaWatoto Wanaolipa Gharama za Vita
Hawza/ Mwaka huu Siku ya Kimataifa ya Mtoto imewadia huku mamilioni ya watoto katika maeneo ya migogoro wakipitia mojawapo ya nyakati ngumu zaidi katika historia ya kisasa.
-
DuniaNi nani anayechukua nafasi ya kwanza katika mauaji ya halaiki dhidi ya raia wasio na hatia nchini Sudan?
Hawza/ Nchini Sudan kuna makundi mawili yanayopigana katika vita vya ndani: kundi la RSF (Rapid Support Forces – Vikosi vya Msaada wa Haraka) na kundi la ASF (Sudan Armed Forces – Jeshi la Wananchi…
-
DuniaJanga la Sudan na Nafasi ya Israel katika Mauaji ya Wanawake na Watoto
Hawza/ Sudan imejikuta ikikabiliwa na vita vipya vya wenyewe kwa wenyewe; mapigano kati ya jeshi la serikali linaloongozwa na Jenerali Abdel Fattah al-Burhan na Jeshi la Msaada wa Haraka (RSF)…
-
Kiongozi wa Kidini wa Pakistan:
DuniaTaifa lililodhulumiwa la Sudan leo linangojea uungaji mkono wa pamoja wa Umma wa Kiislamu
Hawza/ Hujjatul-Islam Sadiq Jafari, akielezea wasiwasi mkubwa kuhusu kuendelea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe na mgogoro wa kibinadamu nchini Sudan, ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua…