Hawza/ Mwenyezi Mungu kama vile ambavyo amemuumba mwanadamu, kuna matendo ambayo anapenda kuyaona yakifanywa na mja wake na yale ambayo huchukia kuyaona yakifanywa na mja wake huyo.
Hawza/ Mufti wa Tanzania Sheikh Abuubakar Zubeir Ally Mbwana, aliandaliwa tafrija ndogo ambayo iliambatana na uzinduzi wa kitabu cha miaka kumi ya utumishi wake tangia kukabidhiwa kijiti cha…