Mwanamke wa kiislamu (5)
-
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi Irani, Katika Kikao na Maelfu ya Wanawake na Mabinti:
DuniaMwanamke Ndiye Msimamizi wa Nyumba, si Mtumishi/ Jamhuri ya Kiislamu imebatilisha Mantiki Potofu ya Magharibi Kuhusu Mwanamke
Hawza/ Mtukufu Ayatollah Khamenei, mbee za maelfu ya wanawake na mabinti, alielezea “kuepuka kumbebesha mwanamke mzigo wa kazi za nyumbani”, “mume kumsaidia mke katika changamoto za uzazi” na…
-
DuniaUfaransa Yakosolewa vikali kutokana na Kuwazuia Wanawake Wachezaji Kuvaa Hijabu
Hawza/ Wanaotetea haki za binadamu wameitaka Ufaransa iondoe sheria inayokataza wanawake wanamichezo kuvaa hijabu, huku mjadala kuhusu suala hili ukizidi kushika kasi katika siku za hivi karibuni.
-
Ayatollah Aʿrafi katika Swala ya Ijumaa Qom Iran:
DuniaMwanamke katika mantiki ya Uislamu si mfungwa wa matamanio ya wenye tamaa
Hawza / Khatibu wa Ijumaa wa Qom alisema: Sote yatupasa kufahamu kwamba Mwanamke katika Uislamu ana nafasi na jukumu kijamii, kimaadili na kifamilia, na jukumu hilo lazima lilindwe na kuheshimiwa.
-
DuniaSheikh Qattan asisitiza umuhimu wa nafasi ya wanawake waumini katika kuunda vizazi vya Muqawama
Hawza/ Raisi wa Jumuiya ya “Qawluna wa al-‘Amal” na mwanachuoni wa Kisunni kutoka Lebanon, katika hafla maalum, amesisitiza juu ya umuhimu wa nafasi ya wanawake waumini katika kuunda vizazi vya…
-
Kwa Mnasaba wa Siku ya Kumuadhimisha Mulla Sadra; Mtazamo juu ya Maisha na Mafanikio ya Mwanamke wa Kwanza Mfilosofia wa Kike wa Iran
HawzaTuuba Kermani; Mwanamke Mfilosofia wa Iran na Kielelezo cha Mwanamke Muislamu katika Nyanja ya Elimu na Maadili
Hawza/ Dkt. Tuuba Kermani, Profesa Mstaafu wa Kitivo cha Theolojia na Maarifa ya Kiislamu katika Chuo Kikuu cha Tehran, kupitia jitihada zake za kielimu na malezi, si tu aling’ara katika uwanja…