Shahada ya Bibi Zaharaa (as) (8)
-
DiniUtukufu wa ibada ya Bibi Zahraa (a.s) Kulingana na Mtazamo wa Ayatullah A-Udhma Javadi Amoli
Hawza/ Ayatullah Javadi Amoli amebainisha kuwa: Bibi Zahraa (a.s) alipokuwa akisimama kuswali alikuwa akijikita kiasi kikubwa kwenye utukufu wa Mwenyezi Mungu na kupotea kabisa katika jalali…
-
DuniaMoscow Yafanya Hafla ya Kumbukizi ya Shahada ya Bibi Zahraa (a.s) katika Kituo cha Kiislamu
Hawza/ Hafla ya kila wiki inayofanywa katika Kituo cha Kiislamu nchini Moscow imefanyika sambamba na kuadhimisha siku za Fatimiyya.
-
DiniJawabu kwa Shubha ya Kihistoria: Je, ni Kweli Nyumba ya Bibi Zahraa (a.s) Ilichomwa Moto?
Hawza/ Katika kipindi kilichoandaliwa huku akihudhuria Hujjatul-Islam Muhammadi Shahroudi, palisisitizwa juu ya kupata maarifa ya Fatimiyyah kama ufunguo wa kufumbua fumbo la historia, na kuchambua…
-
Uchambuzi na Utafiti wa Fatwimiyya Uliofanywa na Ustadh Husseini Qazwini:
HawzaDaraja na Hadhi ya Bibi Fatima Zahra (a.s) Katika Vyanzo vya Ahlus-Sunna
Hawza/ Rais wa Taasisi ya Utafiti ya Hujjat Wali al-Asr (a.t.f.s) amesema: Miongoni mwa hadithi nyingi zilizopo katika vitabu visivyo vya Kishia kuhusu daraja ya Bibi Fatima Zahra (a.s), ni hadithi…
-
Ayatollah Kaabi:
DuniaMapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni Mwanga Uliotokana na Nuru ya Kusimama Imara Bibi Zahraa (a.s.)
Hawza/ Mjumbe wa Uongozi wa Baraza la Wanazuoni (majlis khobregan) amesema: “Kusimama imara Bibi Zahraa (a.s.) kulikuwa na baraka; na miongoni mwa baraka hizo ni Ashura, na miongoni mwa baraka…
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Qom Iran:
DuniaMaktaba ya Fātimiyya ndiyo uti wa mgongo wa harakati za kimungu katika historia
Hawza/ Ayatullah Sa’īdī alisema: Harakati kubwa za kimungu katika historia zimejengeka juu ya malezi, uongofu na mfumo wa fikra wa maktaba ya Fātimiyya.
-
Ayatullah al-Udhma Wahid Khorasani:
DiniKuhuisha Masiku ya F'atwimiyya ni Utumishi Ulio Mkubwa Zaidi
Hawza/ Ayatullah Wahid Khorasani walisema: “Utumishi ulio mkubwa zaidi siku hizi ni kuhuisha masiku ya bibi Fatimah. Jambo la Bibi Zahra (amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake) lina upekee kwa…
-
DiniKwa nini Twala na Zubayr hawakufichua mahali alipozikwa Bibi Fāṭimah (a.s.)?
Kwa mujibu wa vyanzo vya kihistoria na riwaya, kufichwa kwa kaburi la Bibi Fātimah Az-Zahrā (a.s.) lilikuwa ni kwa ombi lake binafsi, ili watawala wa wakati huo wasihusike katika mazishi yake.…