Hawza/ Rais Mteule wa Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameapishwa rasmi kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, na kuanza kipindi chake cha pili cha Awamu ya Nane ya…
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi Mhe. Dkt Hussein Ali Mwinyi amechaguliwa tena kuwa Rais wa Zanzibar kufuatia Ushindi alioupata katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika…