akhlaq (14)
-
Ayatullah Al-Udhma Subhani Katika Darsa la Akhlaq:
DiniElimu Ambayo Haiwahudumii Watu ni Sawa na Ujinga/ Mashindano ya Silaha ni Alama ya Ujinga
Hawza/ Pamoja na kutetea elimu, jihadharini; elimu inayopaswa kuenea ni ile ambayo itaiokoa jamii na kuipeleka kwenye daraja la ubinadamu. Lakini elimu inayosababisha binadamu kuwaua binadamu…
-
Ayatollah al-Udhma Jawadi Amuli:
DiniWito wa kuonana na Malakuti ni heshima ya juu kabisa kwa mwanadamu/ kufunguliwa njia ya kuwa arif
Hawza/ Mtukufu Ayatollah Jawadi Amuli amesisitiza: Qur’ani ni kitabu cha adabu na kinaonesha heshima kamili kwa mwanadamu. Mwenyezi Mungu anasema: (فَاتَّبِعُوا مِلَّةَ إِبْرَاهِيمَ حَنِيفًا),…
-
DiniAyatullahul-‘Uzma Jawadi Amuli: Jamii inaongozwa na maadili, si kwa elimu pekee
Hawza/ Mtume Mtukufu (saww) pamoja na kuwa na elimu pana, alisifiwa kwa sababu ya maadili yake adhim; kwani jamii inaongozwa na maadili, si kwa elimu pekee. Watu waliongozwa na mwenendo wa Mtume,…
-
DuniaKwa nini uongo na kiburi hiki chote?
Hawza / Ulimwengu umejaa uzuri, mpangilio na nuru. Hata hivyo, mwanadamu kwa kujikita katika sura ya nje, kuchanganyikiwa kwa mawazo, na kusema uongo, anavuruga njia ya kimaumbile (fitra) na…
-
DiniHaya ndiyo makundi matano mabayo hayatapata shafa'a (Uombezi siku ya kiyama)
Hawza / Riwaya za Kiislamu hazijaihesabu shafa'a kwenye makundi matano: makafiri, washirikina, wanafiki, wakanushaji wa shafa'a, na wale wanaoibeza Swala. Imam Swadiq (a.s) kwa msisitizo alisema…
-
DiniSomo la Akhlaq | Kwa Nini Uislamu Unalipa Umuhimu wa Pekee Swala la kuunga udugu?
Hawza/ Uislamu umetilia mkazo mkubwa juu ya sila rahm (kuunga udugu), si tu kwa maana ya kuunganisha uhusiano wa kifamilia, bali pia kwa maana ya kuyalinda mahusiano muhimu mawili ya kimaumbile…
-
DiniDarasa la Akhl'aq kwa wanaojiona wamekamilika
Hawza/ Utulivu wa nje wa mwanadamu katika hali ya kawaida mara nyingi huficha sura halisi ya nafsi; lakini hali zisizo za kawaida hufunua yaliyo ndani ya moyo, ni kama maji yaliyotuama ambayo…
-
Ayatollah Bahjat:
DiniEndapo Mola atapenda, watakuzinduwa!
Hawza/ Ayatollah Bahjat (ra), katika kitabu chake "Dar Mahzari-ye Bahjat", akinukuu kauli ya wengi waliopata tajiriba hii, akieleza kuwa mtu akinuia kuswali Swala ya usiku (Swalat al-Layl), hufanyiwa…
-
DiniDarasa ya Akhlaq | Katika mitihani mizito ya Mwenyezi Mungu, wadhifa wetu ni upi?
Hawza/ Mitihani ya Mungu inaendelea kuwa migumu zaidi, na kila mtu, kulingana na nafasi na uwezo wake, ana wajibu mbele ya mitihani hii; jamii haiwezi kutahiniwa moja kwa moja, watu binafsi ndio…
-
DiniKwa nini tunaghafilika sisi wenyewe?
Hawza/ Allamah Hasan Zadeh (ra) ameeleza kuwa kuitambua nafsi ndilo suala muhimu zaidi la maarifa, kwa sababu maarifa ya Mwenyezi Mungu yanategemea na kujitambua, alionya kwamba kupuuza ukubwa…
-
DiniSiri ya Uhai na Umauti wa Roho kwa Mtazamo wa Allamah Hasan Zadeh Amoli
Hawza/ Allamah Hasan Zadeh (ra), kwa kurejelea maneno ya Amirul-Mu’minin (as), analinganisha hali ya mwili na roho.
-
DiniAllama Hasan Zadeh Amoli: Maisha ya milele yapo mbele yetu; Usijisahau mwenyewe
Hawza/ Ewe kiumbe bora, usijisahaulishe; uwepo huu wa thamani kubwa ni kazi ya kipekee ya Mwenyezi Mungu, ukimsahau Mungu, utajisahau mwenyewe pia, na huo ndio mwanzo wa kuanguka, basi jihadhari,…
-
Darsa la (Akhlaq) Maadili:
DiniMwisho wa kufuata matamaniwa ya Nafsi ndio Mwanzo wa ubinadamu
Hawza | Mtu ambaye haoni thamani yoyote ya kidunia kwa ajili ya nafsi yake, hufikia daraja ya utukufu wa nafsi kiasi kwamba hawezi kufikiwa kirahisi. Heshima ya nafsi si kiburi wala si udhalili,…
-
Maadili ya kiislamu:
DiniElimu isiyo ambatana na ufikiriaji, haina faida
Kuujaza ubongo wa mtu kanuni za kisayansi, mantiki na falsafa, au elimu yoyote kutakuwa na athari ndogo sana hadi hapo kutakapokuwa na misingi ya fikra sahihi, mtazamo wazi ulimwenguni na kuitambua…