Hawza/ Ayatullah Alireza A‘rafiy, akiweka bayana nafasi ya kihistoria na kitamaduni ya Hawza, amesisitiza juu ya nafasi ya maulamaa katika kufufua utajo wa Mwenyezi Mungu, kulea kizazi chenye…
Imam Swadiq (a.s) anastaajabishwa na watu wa aina nne, kwa nini hawakimbilii kwenye dhikri nne zilizojaribiwa na zenye tiba wakati wa matatizo na na kushikika.