-
Mafunzo Katika Sahifat Sajjadia:
DiniJe! Ni Vipi Tutasalia Katika Njia ya Kuridhiwa na Mwenyezi Mungu
Hawza/ Imam Zaynu al-Abidin (a.s) ndani ya Sahifa Sajadiya katika dua yenye maana ya kina, anamuomba Mungu ampe uwezo wa kuchagua njia inayomridhisha Mwenyezi Mungu, anapokutana na mitihani ya…
-
Mafunzo Katika Qur'an:
DiniIli Waislamu Wawe Bora, Qur'an Imetoa Sharti Hili
Hawza/ Ufunguo wa heshima na ushindi kwa Waislamu upo katika imani thabiti, kusimama imara katika njia ya haki, na kushikamana na maadili ya Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu anasema katika Qur’ani…
-
Ayatollah Al-Udhma Jawadi Amoli:
DiniVijana na Mabinti Wawe ni Wenye Shukrani Kutokana na Jitihada Walizo Zifanya Wazazi Wao Kwao
Hawza/ Hadhrat Ayatollah Jawadi Amoli aliwashauri wasichana na wavulana kuwa wenye shukrani kwa juhudi zilizofanywa na baba na mama kuwaelekea wao.
-
DiniKioo cha Unabii: Wakati Binti wa Mtume Alipokuwa Katika Daraja la Unabii
Hawza/ Bibi Fatima Zahra (amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake) aliishi siku sabini na tano baada ya Mtume, na katika kipindi hiki Jibril Amin alikuwa akiteremka mara kwa mara juu yake na kueleza…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiyya (58)
DiniMapinduzi kabla ya kudhihiri Imam Mahdi (a.s.)
Hawza/ Baadhi ya watu, wakitegemea baadhi ya riwaya, wamefikia hatua ya kudhania kwamba aina yoyote ya harakati dhidi ya watawala madhalimu kabla ya kudhihiri kwa Imam wa Zama (a.s.) ni haramu;…
-
Mafunzo Katika Sahifat Sajjadia:
DiniJinsi ya Kujiepusha na Majivuno Wakati wa Mafanikio Makubwa
Hawza/ Wakati wa kufikia daraja za kidunia au kiakhera, hatari ya majivuno hutukabili; Imam Zaynul Abidin (a.s.) anatupa mwongozo wa kujilinda na hatari hii.
-
Mafunzo Katika Nahjul Balagha:
DiniJe! Ni kwa Sababu Ipi Wino wa Wanazuoni Unepewa Uzito Mkubwa Kuliko Damu ya Mashahidi?
Hawza/ Amirul-Mu’minin Ali (a.s.) anaiona elimu kuwa ni urithi wenye thamani kubwa mno; na kwa hakika, urithi huu hauwezi kulinganishwa na jambo jingine lolote katika Uislamu.
-
DiniJe, Hazrat Ummul-Banin (s.a.) alifariki kiasili au aliuawa shahidi?
Hawza/ Pamoja na kwamba vyanzo vya kale vimekaa kimya kuhusiana na namna ya kufariki kwa Hazrat Ummul-Banin (s.a.), ripoti za baadaye zimewawekea watafiti simulizi mbili tofauti: kundi moja linaamini…
-
Mafunzo Katika Qur'an:
DiniIli Kuokoka na Majuto ya Siku ya Kiyama Tufanye Nini?
Hawza/ Kila wakati unaopita bila kumkumbuka Mwenyezi Mungu, huacha majuto marefu; na kumbukumbu hii si kwa ulimi pekee, bali lazima ionekane na idhihirike pia katika vitendo.
-
Mafunzo Katika Sahifa Sajjadia:
DiniDaima Jione Kuwa ni Mwenye Mapungufu
Hawza/ Kuona matendo mema kuwa makubwa na kuyafanya makosa na madhambi yaonekane kuwa ni madogo, kunaweza kuwa kikwazo katika njia ya ucha-Mungu wa mwanadamu; kwa hiyo, usia wa Maa’sumina (amani…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiyya (57)
DiniTawkī‘āt za Imam Mahdi (a.s.)
Hawza/ Miongoni mwa njia zinazobainisha mas-ala na kuondoa shubha ni kutumia mwongozo na kunufaika na tawkī‘āt na maandiko ya mkono ambayo Imam Mahdi (a.s.) alikuwa akiyaandika kwa watu waliokuwa…
-
DiniUtukufu wa ibada ya Bibi Zahraa (a.s) Kulingana na Mtazamo wa Ayatullah A-Udhma Javadi Amoli
Hawza/ Ayatullah Javadi Amoli amebainisha kuwa: Bibi Zahraa (a.s) alipokuwa akisimama kuswali alikuwa akijikita kiasi kikubwa kwenye utukufu wa Mwenyezi Mungu na kupotea kabisa katika jalali…
-
DiniJawabu kwa Shubha ya Kihistoria: Je, ni Kweli Nyumba ya Bibi Zahraa (a.s) Ilichomwa Moto?
Hawza/ Katika kipindi kilichoandaliwa huku akihudhuria Hujjatul-Islam Muhammadi Shahroudi, palisisitizwa juu ya kupata maarifa ya Fatimiyyah kama ufunguo wa kufumbua fumbo la historia, na kuchambua…
-
DiniMzizi wa Wilaya na Unabii Unaoatikana katika Uwepo Mtukufu wa Bibi Fatima Zahraa (a.s.)
Hawza/ Mzizi wa “Wilaya" wa na “Unabii” umo katika uwepo wa Bibi Fatima Zahraa (s.a). Mtume Mtukufu (s.a.w.w.) amesema: «فاطمه اُمّ أبیها» “Fatima ni mama wa baba yake”; yaani mama wa baba yake…
-
Mafunzo Katika Nahjul - Balagha:
DiniHivi Ndivyo Utakavyokuwa Mpenzi wa Mungu
Hawza/ Kuwatumikia waja wa Mungu ni miongoni mwa matendo yenye kupendwa sana na Mwenyezi Mungu, na yametajwa pia kuwa ni kafara ya madhambi.
-
Ayatullah al-Udhma Wahid Khorasani:
DiniKuhuisha Masiku ya F'atwimiyya ni Utumishi Ulio Mkubwa Zaidi
Hawza/ Ayatullah Wahid Khorasani walisema: “Utumishi ulio mkubwa zaidi siku hizi ni kuhuisha masiku ya bibi Fatimah. Jambo la Bibi Zahra (amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake) lina upekee kwa…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiya (56)
DiniNjia za Kumtambua Imam (a.s.)
Hawza/ Bila shaka mojawapo ya majukumu muhimu ya waja mbele ya Mola wao ni kumjua huyo Mwenye Hadhi Tukufu. Maarifa haya hufikia ukamilifu wakati Mitume wa Mungu – hasa hasa Mtume wa Mwisho (s.a.w.w)…
-
Kuielekea jamii Bora: Tafiti za Mahdawiya (55)
DiniMambo ya pamoja kati ya Ahlul-Sunna na Shia kuhusiana na suala la Mahdawiya
Hawza/ Ahlul-Sunna wametaja mara nyingi katika riwaya zao ukweli wa "fikra ya Mahdawiya". Ingawa katika baadhi ya maeneo inatofautiana na imani ya Kishia, bado kuna mambo mengi ya pamoja.
-
Mafunzo Katika Qur'ani:
DiniKile Ninachoona Kwenye Kioo “Sio Mimi!”
Hawza/ Mwenyezi Mungu Mtukufu katika dunia hii amemkabidhi mwanadamu amana za kiroho ili azitumie katika kufikia malengo ya kimungu; la sivyo, amana hizi siku moja zitatoa ushahidi dhidi yake.
-
DiniKwa nini Twala na Zubayr hawakufichua mahali alipozikwa Bibi Fāṭimah (a.s.)?
Kwa mujibu wa vyanzo vya kihistoria na riwaya, kufichwa kwa kaburi la Bibi Fātimah Az-Zahrā (a.s.) lilikuwa ni kwa ombi lake binafsi, ili watawala wa wakati huo wasihusike katika mazishi yake.…
-
Maisha Katika Sahifat Sajjadia:
DiniNi vipi Toba Inavyoweza Kuufanya Vizuri Zaidi Uhusiano wa Mja na Mola Wake?
Hawza/ Toba ya mwanadamu imo kati ya toba mbili za Mwenyezi Mungu. Kwanza, Mwenyezi Mungu Mtukufu humpa mja wake tawfiki (uwezo wa kutambua udhaifu wake, kunyenyekea na kutaka kurejea Kwake),…
-
Mafunzo katika Nahjul - Balagha:
DiniUlimi; Chombo Kwa Ajili ya Ukombozi au Maangamizi!!
Hawza/ Ulimi ni kiungo kidogo lakini chenye umuhimu mkubwa mno; kwani unapotoka kutoka katika udhibiti wa akili, hauishii tu kumdhalilisha mtu kimaadili, bali pia huufanya moyo wake kuwa mgumu…
-
Mafunzo Katika Quran:
DiniJe! Ni Ipi Tija ya Maneno ya Puo Kwetu?
Hawza/ Muumini katika maisha yake hufuata malengo makubwa, na kwa sababu hiyo hujiepusha na chochote kinachoweza kumtoa katika njia ya wazi.
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiyat (54)
DiniImamu Mahdi katika Vyanzo vya Ahlus-Sunna
Hawzah/ Kwa kupitia kwa muhtasari vitabu vya riwaya vya Ahlus-Sunna, inadhihirika wazi kuwa suala la Imamu Mahdi (a.s.) limetajwa kwa wingi katika vyanzo vyao. Mbali na hadithi nyingi zilizomo…
-
DiniBibi Fatima Asema/ Mimi ni binti wa yule Mtume
Hawza/ Kutikana na mnasaba wa siku za Fatimiyya; Bibi Fatima Zahra (a.s) alikuwa na moyo uleule wa huruma, upendo na uchungu aliokuwa nao Mtume (s.a.w.w). Aliumia sana kutokana na mateso, upotovu…
-
DiniKwa nini Imam Mahdi (a.t.f.) anaitwa “Shariki al-Qur’an” (Mshirika wa Qur’ani)?
Hawza/ Maana ya kina ya neno “Sharik al-Qur’an” (mshirika wa Qur’ani) inaashiria uhusiano wa kudumu kati ya Imam Mahdi (aj) na Qur’ani Tukufu katika kuendeleza uongofu, kuifufua dini, na kulinda…
-
Mafunzo Katika Sahifat Sajjadiya:
DiniDaima ujihesabu kuwa ni mwenye kukosea
Hawza/ Kuyakuza matendo yako mema na kudharau dhambi au makosa yako, kunaweza kuwa kizuizi kikubwa katika njia ya uchamungu wa kweli. Ndiyo maana mafundisho ya Maimamu watoharifu (as) katika…
-
Mafunzo katika Nahjulbalagha:
DiniKwa nini tamaa humfanya mwanadamu awe duni?
Hawzah/ Neno “tamaa” linamaanisha kutaka zaidi ya haki yako na kujaribu kupata neema za maisha kupitia mikono ya wengine. Ni dhahiri kuwa mtu mwenye tamaa hulazimika kujishusha, kuomba kwa kila…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti Kuhusiana na Mahdawiyya (53)
DiniMahdawiyya katika Qur’ani (Sehemu ya Mwisho)
Hawza/ Aya za Qur’ani wakati mwengine huwa na maana nyingi: moja ni ya dhahiri na ya wazi kwa watu wote, na nyingine ni ya ndani (maana ya batini), ambayo hakuna anayejua isipokuwa Mtume (saww),…
-
Mafunzo Katika Qur'ani:
DiniNjia ya Kukutana na Mtukufu Imam Mahdi (a.s)
Hawza/ Mwenyezi Mungu Mtukufu katika Hadithi ya Mi’raj anatufahamisha kipimo na kigezo ambacho kushikamana nacho kunaweza kuyaangazia macho yetu kuudiriki uzuri wa nuru ya Mtukufu Imam Mahdi…