kuwaunga mkono wapalestina (140)
-
DuniaSheikh Al-Qattan Katika Kikao Chake na Jamil Hayek, Atilia Mkazo Kwenye Umoja wa Kitaifa na Kuliunga Mkono Suala la Palestina
Hawza/ Rais wa Jumuiya ya “Qawluna wa Al-Amal” nchini Lebanon, alipotembelea ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Amal mjini Beirut, alifanya kikao na Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati hiyo, Jamil…
-
Jamii ya Wapalestina waishio Chile Yawahutubia Wagombea wa Urais:
DuniaDumisheni Sera ya Chile Iliyojengwa juu ya Misingi ya Mafungamano na Palestina Bila Kuibadili
Hawza/ Katika kipindi cha kuelekea uchaguzi wa rais wa Chile, rais wa jamii ya Wapalestina nchini humo, akisisitiza historia ndefu ya Chile katika kutetea haki za taifa la Palestina, amewataka…
-
DuniaNchi za Kiislamu Zimetoa Onyo Kuhusiana na Mpango Mchafu wa Israel Huko Rafah
Hawza/ Nchi za Qatar, Misri na nchi nyingine sita za Kiislamu zimelaani vikali hatua ya Israel ya kufungua upande mmoja wa mpaka wa Rafah kwa njia ambayo inaruhusu tu kukimbia kwa wananchi wa…
-
DuniaHispania Inaunga Mkono Kuundwa kwa Kola ya Palestina
Hawza/ José Manuel Álvarez, Waziri wa Mambo ya Nje wa Hispania, amekiri kwamba: ghasia za walowezi wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi zimevuka mipaka ya udhibiti. Sisi tunatambua…
-
DuniaVenezuela: Makubaliano ya Kusitisha Vita Ghaza Kimsingi Hayana Athari
Hawza/ Serikali ya Venezuela kwa sauti isiyo ya kawaida imekemea mashambulizi ya Israel dhidi ya Palestina, Lebanon na Syria na ikakosoa vikali ukimya wa taasisi za kimataifa mbele ya “mchakato…
-
Rais wa Baraza la Maulamaa wa Kishia Pakistan:
DuniaArdhi ya Mitume Imetapakaa Damu ya Waliodhulumiwa, na Dunia Imenyamaza
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika ujumbe wake, alisisitiza kuwa licha ya kuwepo kwa kile kinachoitwa makubaliano ya amani ya kulazimishwa, uvamizi na uhalifu wa…
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Najaf Ashraf:
DuniaInafaa Trump Ahukuhukumiwe Kwenye mahakama za kimataifa, na si Kupewa Tuzo ya Amani ya Nobel
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sadruddin Qabanji alisema: Miongoni mwa mambo ya kushangaza zaidi ni kwamba Trump amedai kuwa serikali ya Iraq imependekeza apewe Tuzo ya Amani ya Nobel!…
-
DuniaWatu Mashuhuri Wataka "Tumaini la Palestina" Aachiliwe Huru Kutoka Gerezani
Hawza/ zaidi ya watu mashuhuri mia mbili wametangaza kwamba wanataka kwa dhati kuachiliwa huru Marwan Barghouti, mmoja wa viongozi wa mapambano ya Palestina ambaye wataalamu wamempa jina la “Tumaini…
-
DuniaPalestina Yawasilisha Malalamiko dhidi ya FIFA na UEFA kwa Tuhuma za Kushirikiana Katika Mauaji ya Kimbari
Hawza/ Wanasoka wa Palestina, vilabu vya ndani pamoja na makundi kadhaa ya utetezi wa haki za kimataifa wako katika maandalizi ya kuwasilisha kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ambapo…
-
DuniaOmbi la Hamas kwa Watu Wote Duniani ili Kuwaunga Mkono Wapalestina
Hawza/ Harakati ya Hamas katika taarifa yake ya hivi karibuni imewaomba watu wote duniani kuandaa maandamano na mikusanyiko zaidi ya kimataifa kupinga dhulma, uvamizi wa kikoloni, pamoja na vitendo…
-
DuniaMwanamichezo wa Kickboxing wa Misri Akataa Kupambana na Mwakilishi wa Utawala wa kizayuni
Hawza/ “Rawhda Mustafa Saad Muhammad”, mwanamichezo wa Misri, katika mashindano ya dunia ya kickboxing, alikataa kupambana na mwanamichezo wa nchi hiyo “Yulia Sashkov” kwa kupinga uhalifu wa…
-
Rais wa Baraza la Wanazuoni wa Kishia Pakistan:
DuniaKusitishwa Dhuluma za Kizayuni na Kutimizwa Haki za Wapalestina ni Hitaji la Dharura Kwnye Ukanda Huu
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqwi, katika hotuba yake akilaani kushindwa kwa jumuiya ya kimataifa kudhibiti hujuma za Kizayuni, alisisitiza kuwa kurejeshwa kwa haki za…
-
DuniaWaandamanaji Wanaotaka Amani Watawanywa na Polisi Uingereza
Hawza/ Polisi wa Uingereza kwa mara nyingine imewatawanya kwa nguvu waandamanaji wapenzi wa amani na kuwakamata baadhi yao. Waandamanaji hawa walikuwa wakipinga hukumu ya mahakama iliyopiga marufuku…
-
Viongozi wa Kanda wa Morocco:
DuniaAzimio la Baraza la Usalama kuhusu Ghaza ni hatari zaidi kuliko azimio la kugawa Palestina
Hawza/ Azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Ghaza limezua sintofaham na mitazamo mikubwa katika ukanda wa Morocco.
-
DuniaHotuba Kali ya Kocha wa Manchester City Dhidi ya Israel
Hawza/ Pep Guardiola, kocha wa Manchester City, kabla ya mechi ya misaada ya kibinadamu dhidi ya timu ya Palestina, alitoa hotuba kali dhidi ya jinai zinazofanywa na Israel huko Ghaza, na kuwalaumu…
-
DuniaMuungano wa Muqawam kutoka Palestina hadi Caracas na Havana; Jiografia Tatu dhidi ya Ubeberu wa Magharibi
Hawza/ Katika mazingira ambayo vita, vikwazo na mzingiro vimekuwa nyenzo endelevu za nguvu za mataifa ya Magharibi, mataifa matatu—Palestina, Venezuela na Cuba—pamoja na umbali wa kijiografia…
-
DuniaMaduro: Kuitetea Palestina ni jukumu la kihistoria na tukufu
Hawza/ Rais wa Venezuela, katika maadhimisho ya mwaka wa kuadhimishwa kwa tangazo la uhuru wa Palestina, amesisitiza msimamo thabiti na wa kihistoria wa Caracas katika kuutetea mustakabali wa…
-
DuniaWito wa Guardiola kwa watu kutazama mchezo maalum
Hawza/ Pep Guardiola, kocha mkuu wa timu ya Manchester City, amewaomba kwa dhati mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi kujaza majukwaa ya Uwanja wa Olimpiki siku ya Jumanne, tarehe 18 Novemba…
-
DuniaMfadhili wa Israel awaweka waigizaji wanaoiunga mkono Palestina kwenye orodha nyeusi ya Hollywood
Hawza/ Ellison, mmoja wa waanzilishi wa Oracle, mfadhili mkuu wa Israel na muungaji mkono uhalifu wote na mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel huko Ghaza, kwa kumteua msimamizi Mwisraeli…
-
DuniaChile Yawa Mwenyeji wa Hafla ya Kuzishukuru Nchi Zilizolitambua Taifa la Palestina
Hawzah/ Katika sherehe maalum iliyofanyika mjini Santiago, Wizara ya Mambo ya Nje ya Chile kwa kushirikiana na jamii ya Wapalestina wanaoishi nchini humo, ilizishukuru serikali ambazo katika…
-
DuniaUamuzi Thabiti wa Ulaya wa Kuiondosha Israel UEFA
Hawzah/ Jumuiya ya Soka ya Ireland siku ya Jumamosi ilitangaza kwamba wajumbe wa baraza hilo, kwa wingi wa kura, wamepiga kura thabiti ya kuiondoa Israel kwenye mashindano ya UEFA, na wamelitaka…
-
DuniaHamas Yapokea Uamuzi wa Mahakama ya Uturuki
Hawzah/ Harakati ya Hamas imeitaja tangazo ya hati ya kukamatwa kwa maafisa 37 wa Israel, akiwemo Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, kuwa ni hatua ya haki.
-
DuniaCuba: Kuitetea Palestina ni Kuutetea Ubinadamu
Hawza/ Wakati wa kikao cha mkutano wa 43 wa Baraza Kuu la UNESCO uliofanyika mjini Samarkand, Serikali ya Cuba kwa mara nyingine imesisitiza kujitolea kwake kwa dhati kwa ajili ya taasisi na…
-
DuniaUtawala wa Kizayuni ndio Unao Tekeleza Ugaidi na Mateso katika Ukingo wa Magharibi
Hawza/ Harakati ya Hamas imetangaza kuwa takwimu za Umoja wa Mataifa kuhusu uvamizi wa walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi ni ushahidi wa wazi wa siasa ya mauaji na mateso inayotekelezwa…
-
DuniaAthari za kihistoria za Ghaza bado zinahifadhiwa katika Makumbusho ya Geneva
Hawza/ Kutokana na uharibifu, mauaji ya kimbari na jitihada nyingi zilizofanywa na utawala katili wa Kizayuni katika kuangamiza athari za kihistoria za ardhi ya Gaza na Palestina, serikali ya…
-
DuniaWanafunzi wa Chuo Kikuu cha Chile waungana na Palestina: Kukaa Kimya ni Sawa na Kushiriki Katika Uhalifu
Hawza/ Wanafunzi na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Chile wamefanya hatua ya kisanii na ya upinzani katika Kitivo cha Falsafa na Sayansi ya Binadamu wakipinga uhalifu wa utawala wa Kizayuni na ukimya…
-
DuniaKikao cha “Mkataba wa Amani wa Palestina; Ukiukaji na Wajibu wa Umma wa Kiislamu” chafanyika nchini Pakistan
Hawza, kikao kilichopewa jina “Mkataba wa Amani wa Palestina; Ukiukaji na Wajibu wa Umma wa Kiislamu” kiliandaliwa huku kundi la wanazuoni likishiriki, viongozi mashuhuri wa kidini na kijamii,…
-
Siku Nzito Kwa Watu wa Ghaza na Quds Inayokaliwa Kwa Mabavu Chini ya Kivuli Cha Usitishwaji wa Mapigano Dhaifu:
DuniaMiundombinu ya Msikiti wa Al-Aqsa iko katika hali ya kuporomoka
Hawzah / Hivi karibuni, manispaa ya Kiislamu ya Quds imeonya kuwa kutokana na kuongezeka kwa uchimbaji wa Mahandaki chini ya mji wa kale na chini ya Msikiti wa Al-Aqsa, hatari ya kuporomoka kwa…
-
DuniaMahakama ya mwisho ya Palestina ilihitimishwa kwa kukumbushia miaka mingi ya mateso waliyo pitia watu waliodhulumiwa
Hawzah/ Falk, mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika mahakama ya mwisho ya Palestina huko Istanbul alisema: “Janga la watu wa Ghaza lilianza karne moja iliyopita na linaendelea.”
-
Ujumbe wa Kongamano la Kimataifa “Wito wa Palestina”:
DuniaWajibu wa kuisaidia Palestina ni zaidi ya itikadi na siasa
Hawza/ Kwa juhudi za mtandao wa “SNN”, kongamano la kimataifa liitwalo "Mwito wa Palestina" limefanyika kwa njia ya mtandao (Zoom) kutoka mji wa Lucknow, India, kwa ushiriki wa kundi la wanazuoni…